“Tangu Mhe Rais Samia Suluhu Hassan alivyoingia mwaka 2021 vision yake ni kuhakikisha kwamba huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana kwa mwananchi kwa gharama nafuu, kwa wakati kwa ubora na urahisi. Na urahisi ni kwamba huduma zifike kule kwa Wananchi walipo ikiwemo shule, zahanati na huduma zingine”- @albertomsando, DC Ubungo.
#SentroYaCloudstv
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana