“Tuliweka camera za mfano kwenye baadhi ya maeneo lakini tayari mradi ule Serikali imeshauanzisha. Kuna mchakato unaoendelea ambapo naamini watapatikana wawekezaji kuwekeza kwa ukubwa wake kama ambavyo tunaona Dodoma tayari mradi ule umeshafanyika”-
@albertomsando, DC Ubungo.

#SentroYaCloudstv
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *