
Uturuki yadungua ndege isiyo na rubani isiyojulikana ikikaribia anga yake juu ya Bahari Nyeusi
Wizara ya ulinzi ya Uturuki imesema kuwa droni lililogunduliwa karibu na Bahari Nyeusi lilidunguliwa katika eneo salama baada ya kushindwa kujibu hatua za kudhibiti.