Wataalamu wa maji nchini wamependekeza njia mbadala ya uchimbaji wa visima vya maji ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa maji katika maeneo mbalimbali nchini.
Wataalamu hao wanadai kuwa jiografia ya ardhi na uwepo wa maji mengi mkoani Dar es Salaam unatoa fursa ya kutatuliwa tatizo hilo kwa njia ya visima.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi