🥹😍 Post navigation Chaichaka ameanza mawindo…hehehe kumbe hajabadilika kabisa…Bora Kachio kaokoa jahazi Shakei hajui mzigo amepewa ikiwa ni ujumbe wa mapenzi ya Hamida kwa Sheiza 😅 mwenyewe anaona raha akimuona binti wa Kisambaa 😅