Chaichaka ameanza mawindo…hehehe kumbe hajabadilika kabisa…Bora Kachio kaokoa jahazi. Huu ni mtihani mwingine kwa Sheiza kuhakikisha Chaichaka anakuwa mbali maana mipango yake ameielekeza kwa Radhia…
Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD