#HABARI: Baada ya Mji wa Uvira Kivu Kusini huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kutekwa na waasi wa AFC /M23 baadhi ya wapiganaji wazalendo wameanza kusalimisha silaha zao kwa waasi hao.
Wazalendo ni raia na vijana wasiokuwa na mafunzo ya kijeshi, ambao Serikali iliwapa silaha kukabiliana na M23 na kwa sasa wameshindwa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania