‎#HABARI: Mwanamke mmoja Mzee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 70, mkazi wa Mtaa wa Mbirani, Kata ya Kidongo Chekundu, Manispaa ya Tabora, amenusurika kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali, akituhumiwa kumuua binti wa miaka 25, mkazi wa eneo hilo, aliyefariki wiki mbili zilizopita hali iliyosababisha taharuki na mvutano mkubwa kati ya viongozi wa Serikali na raia wakimgombania bibi huyo.

Tukio hilo limetokea leo Desemba 17, 2025 ikidaiwa bibi huyo alifika katika familia ya marehemu kwa ajili ya kuomba msamaha kwa tukio analodaiwa kushiriki la mauaji ya binti huyo na kupelekea familia hiyo na watu kutaka kumshambulia kabla ya viongozi wa Serikali hawajafanikiwa kudhibiti jambo hilo na kisha polisi kumchukua.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *