#HABARI: Serikali ipo katika utekelezaji wa hatua ya awali ya manunuzi kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa barabara ya lami ya harakishi (express way) yenye urefu wa kilometa 210 inayotarajiwa kujengwa kutoka katika moja ya eneo la Kibaha hadi Chalinze na kisha kuunganishwa hadi mkoani Morogoro.

Hayo yamesemwa na Meneja Tanroad Mkoa wa Pwani Mhandisi Baraka John Mwambage wakati akizungumza na waandishi wa habari na kusema ujenzi wa barabara harakishi ni mkakati wa Serikali kupunguza adha za foleni kwa watumiaji wa barabara ya Morogoro.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *