Katika harakati za kuuondoa Mkoa wa Rukwa katika orodha ya mikoa inayoongoza kwa udumavu kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano nchini, wakulima wilayani Kalambo wametakiwa kuzingatia usalama wa chakula wanachokizalisha kuanzia shambani hadi kwa walaji ili kukabiliana na changamoto hiyo.

Mhariri | John Mbalamwezi
#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *