“Kikubwa ninachojivunia ni kupata possibility ya kubadilisha maisha yangu mwenyewe na kubadilisha maisha ya vijana wengi ambao wamekuwa wakifuatilia.

“Ni kama vile ukimuona mtu fulani maarufu au msanii unaanza kuwa kama yeye. Kwangu Mimi ni neema ya kipekee kwamba nimepata nafasi ya kuwa mfano wa kuigwa kwa mema kwamba wasichana wananiangalia wanasema kwamba wanataka kuingia kwenye fani ya mitindo ili aweze kusogea na kubadilisha maisha yake na kuinuka kiuchumi na kuleta mabadiliko kwenye jamii yake”- Niler Bernard, @nilerbernard, Mwanamitindo

#SentroYaCloudstv
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *