Kupitia kipindi cha The Spark cha Clouds TV, wasanii wa muziki wa Hip Hop kutoka kundi la @queesbees wameeleza namna Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda (@baba_keagan), alivyowatambulisha kwa watu wa Arusha. Wamesema tukio hilo limewapa motisha kubwa na kuongeza mashabiki wao kwa kiasi kikubwa.
Cc @missloloh_
@djfantastic255