“Kwa hili iliyopo na kiwango cha maji tulichokuwa nacho ni kidogo na kipaumbele matumizi yake ya maji kwa sasa yatatumika kwa binadamu. Tumesitisha vibali kwa wale wadau wote wanatumia kwa ajili ya kilimo na umwagiliaji mto Ruvu kwamba maji yote yataelekezwa kuhakikisha kwamba yanatumika kwa ajili ya binadamu. Na hiki ni kipindi kifupi tutavuka salama na hali itakuwa sawa”- Juma Aweso, Waziri wa Maji.
#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana