Maega amsikia Bisura akipanga mipango ya kuzinasa hazina…Mzee kwa dharau anaondoka zake huku akijifanya hajasikia chochote, Bisura anadhani anaonewa wivu wa kimapenzi 😅
Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD