Mwekezaji wa shamba namba tisa katika kijiji cha Kupungu mkoani Pwani, Tark Salehe Ahmed amefanikiwa kurejesha eneo la shamba hilo lililodaiwa kuvamiwa na wananchi na kusababisha mgogoro.

Hatua hiyo imekuja baada ya Wizara ya Ardhi kujiridhisha juu ya umiliki wa eneo hilo kwa mujibu wa hati miliki zilizopo wizarani.

Mariam Songoro ameshuhudia tukio la utatuzi wa mgogoro huo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *