“Nawaomba sana wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani imekuwa inatoa huduma kuanzia January hadi November tumepata hitilafu. Tunakubali tumepata maoni mengi, ushauri mwingi. Niwaambie kuwa hiki ni kipindi cha mpito tu. Tutavuka salama. Uwekezaji ambao umefanywa na Serikali ni mkubwa mno. Tumefikisha miundombinu katika maeneo mbalimbali”- Juma Aweso, Waziri wa Maji.

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *