“Niseme tu kwamba wafanyakazi wa DAWASA wanafanya kazi kwa kuzingatia misingi ya utumishi wa Umma na sio tu kwa kipindi hiki hata katika kipindi chote inapobainika na tunazopata taarifa sahihi huwa tunachukua hatua stahiki.

“Tuwaombe wateja wetu na wananchi wote kwa ujumla katika kipindi na mawazi mbalimbali tunayapokea tuweze kuyafanyia kazi na kuweza kuona na itakapobainika mfanyakazi wa DAWASA anakwenda kinyume na maadili tutachukua hatua.

Na wananchi watusaidie kutoa taarifa. Na kama DAWASA tunasimamia uweledi wa wafanyakazi kwa kushirikiana na taasisi zingine kuweza kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora kwa wakati wote sio wakati huu wa changamoto”- Mhandisi Mkama Bwire, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam DAWASA.

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *