Rukwa ni miongoni mwa mikoa inayoongoza nchini kwa udumavu wa watoto chini ya umri wa miaka mitano. Unashauri nini kifanyike kukabiliana na udumavu kwa watoto?

Tuandikie maoni yako na tutayasoma #AdhuhuriLive saa 7:00 #UTV

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *