Serikali imesema itaendeleza mazungumzo ya kidiplomasia na Marekani ili kupata muafaka wa pamoja baada ya Tanzania kuwekwa kwenye orodha ya mataifa 15 yaliyopewa udhibiti wa kupata VIZA ya kuingia Marekani.
Wakati huo huo Serikali imewahimiza Watanzania wote wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia kikamilifu masharti ya VIZA.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi