DIRA.BZ18 Desemba 2025

Mkutano wa kilele wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya unaendelea, huku wakijadili uwezekano wa kutumia mali za Urusi zilizozuiliwa katika mataifa ya EU ili kuisaidia Ukraine+++Wajumbe wa Kongamano la Wazalendo wa Afrika Kanda ya mashariki mwa bara hilo wameukosoa Umoja wa Afrika pamoja na Umoja wa Mataifa kwa kutokufanya juhudi za kutosha kukomesha vita nchini Sudan.

https://p.dw.com/p/55e1q

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *