Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani, Donald Trump, amelihutubia taifa na kujimiminia sifa, akiisifu serikali yake kwa kuleta maendeleo makubwa nchini Marekani / kundi la waasi wa M23 limeanza kujiondoa katika mji wa kimkakati wa Uvira, nchini DRC