Askofu Mkuu wa kanisa la Menonite Tanzania Askof Nelson Kisare amewashauri viongozi wa Dini Nchini kusaidia Serikali Kujenga na kurejesha Umoja na mshikamano pamoja na kutafta njia sasahihi ya kuwasikiliza Vijana na kutatua changamoto zao kwa Wakati.