Boxing on Boxing Day

Disemba 26, katika ukumbi wa Warehouse Masaki, vitasa vitapigwa, bondia Hassan Mwakinyo atapanda ulingoni kuzichapa na Stanley Eribo kutoka Nigeria.

Pambano hili litasindikziwa na mapambano mengine 11 likiwemo Hamad Furahisha dhidi ya Hannock Phiri.

Vitasa hivi vitakuwa mbashara AzamSports3HD kuanzia saa 12:00 jioni.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama vitasa hivi…

#Mwakinyo #BoxingOnBoxingDay #Vitasa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *