Paul Ramazani, mtoto wa kiongozi wa upinzani nchini DRC, Emmanuel Ramazani Shadary, amekamatwa siku ya Jumatano Desemba 17, 2025, huko Kinshasa, kulingana na vyanzo vya familia.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Inaripotiwa kwamba alikamatwa yapata saa 4 usiku na wanaume waliovaa nguo za kiraia waliokuwa wakisafiri katika gari la kijeshi.

Pia ni mwanachama wa Chama cha Wananchi cha Ujenzi Mpya na Demokrasia (PPRD), chama cha rais wa zamani Joseph Kabila

Utambulisho wa waliomkamata na mahali alipo bado haujulikani. Kukamatwa huku kunakuja siku mbili baada ya baba yake, kiongozi wa upinzani na Katibu Mkuu wa PPRD, Emmanuel Ramazani Shadary, kukamatwa pia.

Habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *