Fainali za AFCON2025 kuanza Disemba 21, nchini Morocco
Taifa Stars ipo Kundi C na hizi ndio mechi zake za hatua ya makundi.
Kwa kifurushi chashilingi 28,000 unatazama michezo hii, lipia sasa usipitwe na michezo hii.
#AFCON2025 #Azamtvsports #TaifaStars