#HABAI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi.Mboni Mhita, ameagiza Wahandisi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wasimamishwe kazi kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utumishi wa Umma na kuisababishia Serikali hasara, huku akiitaka sekretarieti ya Halmashauri hiyo nyaraka zenye ushahidi kwa nini watumishi hao wamesimamishwa kazi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania