#HABARI: Hali ya uwepo wa Ukame katika maeneo mbalimbali nchini, imeendelea kuwa changamoto kwa wafugaji wa Ng’ombe na kusababisha upungufu mkubwa wa nyama katika Jiji la Dar es Salaam na kilo moja ya nyama ya kawaida inauzwa shilingi elfu kumi na mbili.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania