#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, linawashikilia watu 21 wakiwemo wanaoshiriki na kufanya shughuli za matambiko maarufu Kamchape, kwa tuhuma za kuhusika na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu, uporaji na ubakaji, huku jeshi hilo likiendelea kuwasaka wengine na kuagiza wote wanaojihusisha na vitendo hivyo kujisalimisha mara moja kwenye Vituo vya Polisi.
Hatua hiyo ya Jeshi la Polisi, inakuja ikiwa ni siku chache baada ya kushamiri kwa matukio hayo yanayosababishwa na kundi la waganga wakienyeji wanaojihusisha na ramli chonganishi ambao wamekuwa wakitekeleza vitendo vya kihalifu na uvunjaji amani katika Vijiji vya Kisiwa cha Ukala.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania