#HABARI: Katika kuelekea kwenye Sikukuu za mwisho wa mwaka, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani, kutoka Makao Makuu ya Nchi, kwa muda wa siku tano kwenye mikoa mitano, kimefanya operesheni ya kukagua magari na kuwafungia leseni za udereva za madereva sita na kufutiwa madaraja madereva 12 kwa kukiuka Sheria za Barabarani na kuhatarisha maisha ya watumiaji wa barabara.
Hayo yamebainishwa na Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Butusyo Mwambelo, katika operesheni inayofanywa usiku na mchana kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Singida.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania