‎#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameagiza Mgogoro wa Ardhi katika Kijiji cha Mpeta kilichoko wilayani Uvinza mkoani Kigoma katika eneo lenye ukubwa wa zaidi ya hekta 874 umalizike haraka, pamoja na kutoa maelekezo kwa mwekezaji wa kilimo cha mpunga katika eneo hilo ambaye anatuhumiwa kutofuata masharti na kuwakodisha mashamba wakulima wadogo kinyume na maelekezo ya uwekezaji aliyopewa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *