Hehehhe Mzee Maega akutwa na msaidizi wake kwenye hali ya kutatanisha. Duso yamemkuta…Je, ni swala la kutaka kumtoa Maige jela Sheiza amkimbia Chaichaka, ambaye amewaka kweli kisa kumkosa. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD