Kamati ya maridhiano Kitaifa imemkabidhi mkuu wa mkoa wa Mara kanali Evans Mtambi ,Jeshi la Polisi na kikosi cha zimama Moto na uokoaji pamoja na mamlaka ya mapato Tanzania TRA Tuzo ya kutambua mchango wa Vyombo hivyo vya usalama na Taasisi katika uimarishaji amani na utulivu katika mkoa huo.