Katika kufanikisha utekelezaji wa mpango wa ‘Bima ya Afya kwa Wote’ serikali imeshauriwa kutumia utaratibu ulioboreshwa ili kuwafikia wananchi wasio na uwezo wa kumudu gharama za matibabu badala ya kutumia mbinu inayotumiwa katika Mpango wa Kuhudumia Kaya Maskini (TASAF).
Ushauri huo umetolewa na wadau mkoani Songwe katika uzinduzi wa utoaji elimu kuhusu Bima ya Afya kwa Wote.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi