Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na utamaduni unaokua kwa kasi miongoni mwa Watanzania wa kupeana zawadi mwishoni mwa mwaka, iwe ni kwa kusherehekea sikukuu, kuhitimisha mwaka, au kuimarisha mahusiano sehemu za kazi.
Je, kupeana zawadi za mwisho wa mwaka kuna umuhimu wa kweli katika kujenga mshikamano na motisha, au ni mzigo wa kijamii na kiuchumi unaoleta shinikizo lisilo la lazima
Tupe maoni yako na tutayasoma LIVE kwenye Morning Trumpet Desemba 26, 2025 ndani ya UTV kuanzia saa 2.00 asubuhi.