“Kuna watu wanatumia masanduku ya posta na hayajalipiwa na tayari wameshapewa watu wengine. Nyaraka zao za Siri zinakwenda kwa watu wengine. Na utakwenda Sanduku la posta utaingiza fungua haitaingia. Utakwenda kuuliza counter watakwambia sio la kwako tena. Tumeweka tangazo kwamba kwa barua zote mtu atakayezikuta kwenye Sanduku la Barua anatakiwa azikabidhi kwetu”- Ferdinand Kabyemela – Afisa kutoka Shirika la Posta Tanzania.
#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana