Kwa mujibu wa wasanii wa kike wa Hip Hop @queenbees, kwa sasa Arusha ni kama Nigeria kutokana na wingi wa wasanii wanaochipukia na vipaji vinavyoendelea kung’ara. Wanasema Arusha imekuwa kitovu cha burudani na sanaa nchini.
Mtazamo wako ni upi?Tukutane kwenye comments!
Cc: @missloloh_
@djfantastic255