“Leo hii unanunua bidhaa China kupitia mtandao na unafanya muamala kupitia mtandao lakini ile bidhaa haiwezi kutumwa kwa njia ya mtandao. Ule utaratibu wa kutuma bidhaa yako hadi ikufikie ile ndo barua. Kwa sasa hivi barua tumetoka kwenye nyaraka tumekwenda kwenye vifurushi au ule mzigo wako ndio barua ya kisasa. Barua zipo lakini zimebadilika na kuwa vifurushi”- Ferdinand Kabyemela – Afisa kutoka Shirika la Posta Tanzania.

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *