Mkoani Kagera linafanyika tamasha la Ijuka Omuka, linalolenga kujadili masuala ya maendeleo na kuweka mikakati ya kuendeleza mkoa huo katika sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi