Mwandishi wa habari mkongwe na mjumbe wa bodi ya chuo cha uandishi wa habari cha Ujiji Broadcatsing Academy (UBA), Hassan Mhelela amewataka waandishi wa habari na wanafunzi wa fani hiyo nchini kuzingatia weledi na maslahi mapana ya nchi katika kutekeleza majukumu yao ili kulinda hadhi ya taaluma.
Taarifa zaidi na Jacob Ruvilo
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi