@naytrueboytz baada ya ukimya ameamua kurudi na tupo busy akiwa ameamua kukaa upande wa Mashabiki kama street president kwakile ambacho kinachojadiliwa sana Juu ya mashabiki kuwakataa Wasanii wa Tanzania baada ya kujihusisha na maswala kisiasa na kuisahau jamii.

Nay anaendelea kusema kwamba tupo busy fanyeni kazi Maana wasanii waliwaambia mashabiki, wafanye kazi hivyo na wao wapo busy hawana muda wa kufuatilia kazi zao.

je umekisikia kibao hiki cha Nay wa Mitego?

Tuachie maoni yako hapa chini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *