@queenbees wameeleza kuwa wana mpango wa kuhamia Dar es Salaam ili kunufaika na fursa zilizopo kama uwepo wa vyombo vingi vya habari, studio za muziki, na wasanii wakubwa wanaoweza kushirikiana nao.

Aidha, wametaja kuwa tayari wameshafanya kazi na wasanii kama @wizzymp_official na @udede__ ,na sasa wanawaalika wasanii wakike wakubwa kama @fridaamaniofficial kujiandaa kwa kolabo zinazokuja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *