Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Viongozi hao wamekutana leo Desemba 17, 2025.
#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *