Serikali imeombwa kutekeleza mpango wa ujenzi wa nyumba salama katika halmashauri ili kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili, kwani baadhi yao hushindwa kutoa taarifa za matukio hayo yanayowakumba majumbani wakihofia kufukuzwa na kukosa mahali pa kuishi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *