Tazama namna Jeshi la Marekani (Kamandi ya Kusini) lilivyofanya shambulio la kijeshi dhidi ya chombo kinachodaiwa kujihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya katika Bahari ya Pasifiki ya Mashariki na kuua ‘magaidi wa dawa za kulevya’ wanne.

“Jumla ya wanaume wanne wanaojihusisha na ugaidi wa dawa za kulevya waliuawa, na hakuna mwanajeshi wa Marekani aliyejeruhiwa,” imeeleza sehemu ya taarifa ya jeshi hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *