“Tunatoa elimu kuhusu umuhimu wa kuwa na Sanduku la Barua. Na Sanduku la Barua ni identity. Yupo mtu ana Sanduku la Barua anakwambia Sanduku lake la Barua ni kizazi cha Tatu, lilianzia kwa babu, baba na sasa hivi anamiliki yeye. Ukimwangalia unamuona kabisa anajivunia kuwa na lile sanduku la Barua. Na mtu kama yule ukimwambia Sanduku lake la Barua limeuzwa kwa mtu mwingine inakuwa ni kesi kubwa”- Ferdinand Kabyemela – Afisa kutoka Shirika la Posta Tanzania.

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *