“Uandishi wa barua umepungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu wengi tumebadilisha mawasiliano tumetoka kwenye barua na kuhamia kwenye vifaa vya kiditali kama simu, email na mawasiliano mengine. Lakini taasisi bado zinawasiliana kwa barua.
“Kama taasisi kwa taasisi au taasisi kwa Serikali kwahiyo Serikali itawasiliana na wewe kwa barua. Na wewe ukitaka kuwasiliana na Serikali utaiandikia barua.
“Mawasiliano ya barua bado yapo lakini sio mengi kama yalivyokuwa miaka ya nyuma”- Ferdinand Kabyemela – Afisa kutoka Shirika la Posta Tanzania.
#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana