Utoaji wa elimu na uhamasishaji kwa umma kuhusu mpango wa utekelezaji wa bima ya afya kwa wote unaendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini.

Mpango huo unalenga kufikia lengo la asilimia 100 ya wananchi kujiunga na bima ya afya kwa wote, kutoka kiwango cha sasa cha asilimia 8, ambacho ni sawa na idadi ya watu takribani milioni tano pekee wanaonufaika na bima iliyopo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *