Wakati wakulima wengi wa Tanzania wakilima mara moja kwa msimu kutokana na kutegemea mvua hali hiyo inatarajiwa kuwa historia kwa wanakijiji zaidi ya 20,000 kutoka vijiji 28 vilivyopo katika kata saba za wilaya ya Korogwe pindi mradi wa bwawa la umwagiliaji lililojengwa kwa zaidi ya Shilingi Bilioni 18 utakapokamilika.
Kufahamu kiundani, ungana na Mariam Shedafa kutoka Tanga.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi