Wananchi wameaswa kujiandaa kupokea, kujifunza na baadaye kujiunga na bima ya afya kwa wote ili kuwa na uhakika wa kupata matibabu na kuchangia katika uchumi wa Taifa.

Kwa upande wako, umejipangaje kupokea na kujiunga na bima ya afya kwa wote? Tuandikie na tutausoma ujumbe wako #AdhuhuriLive saa 7:00 #UTV

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *