Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewataka Wakuu wa Shule za Sekondari nchini kutokuwa kikwazo cha utendaji kazi wa walimu wanaowasimamia, akisisitiza kuwa jukumu lao la msingi ni kuweka mazingira wezeshi yatakayowawezesha walimu kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na weledi.

Prof. Shemdoe wito huo leo kwa Wakuu hao wa shule nchini, wakati akifungua Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), unaofanyika Jijini Arusha katika Ukumbi wa Tanzania Convention Center (Ngurudoto Mountain Lodge).

#kilichoborakabisa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *